Blogger Widgets

.

.

Tuesday 15 July 2014

Tanzania itapokea Dola za kimarekani milioni 122 kwa miaka minne ijayo kutoka miaka, Benki kuu ya Dunia. ambao no mkopo wenye lengo la kuongeza ubora wa elimu katika shule za msingi na sekondari nchi kupitia mpango wa “Big Results Now in Education”,
Haya yalisemwa alna Mkurugenzi wa Benki kuu ya Dunia nchini, Bw Philippe Dongier, siku ya ijumaa.

Akiongea Dongire alisema elimu inaweza kubadilika kabisa na ikawa bora nchini Tanzania ikiwa kila mtoto anaweza kupata aina ya mafunzo ambayo yanaweza kufungua milango mipya ya baadaye.


Benki kuu ya dunia imeunda timu ya wataalamu katika upande wa elimu, ili kusaidia mpango wa “Big Results Now in Education” ili kuhakikisha watoto katika shule za msingi na sekondari nchini Tanzania wanasoma katika mazingira mazuri na kwa ufasaha zaid

0 comments:

Post a Comment