Blogger Widgets

.

.

Saturday, 19 July 2014

Ile anashdi iliyojaa ujumbe maridhawa ambayo ilipatikana hapa BUSTANI YA HABARI ya USIDANGANYWE NA DUNIA (BOFYA HAPA KUITAZAMA) iliyoimbwa na JAFAR MPONDA sasa albam nzima iko tayari na ipo mlangoni kwako kwa tsh 3000 tu, ukinunua utakuwa umechangia radio na tv imaan PATA NAKALA YAKO KWA WAKALA KWA KUPIGA NAMBA...

Tuesday, 15 July 2014

Tanzania itapokea Dola za kimarekani milioni 122 kwa miaka minne ijayo kutoka miaka, Benki kuu ya Dunia. ambao no mkopo wenye lengo la kuongeza ubora wa elimu katika shule za msingi na sekondari nchi kupitia mpango wa “Big Results Now in Education”, Haya yalisemwa alna Mkurugenzi wa Benki kuu ya Dunia nchini,...

Haki za Mwalimu pinda anapoajiriwa na serikali. WAJIBU MKUU WA MWALIMU Wajibu mkuu wa mwalimu ambao ndio Nguzo Tano za kazi ya ualimu ni:- 1.KWA MTOTO 2.KWA JUMUIYA 3.KWA KAZI YAKE 4.KWA TAIFA 1.KWA MTOTO Nguzo hii inamtaka mwalimu akubali kwamba wajibu wake mkuu ni kwa mtoto ambaye amekabidhiwa kumleana kwamba...

Utamu na Faida za Tende Tende mbali ya utamu wake zina faida nyingi sana mwilini Je unajua kwamba tende ndio tunda pekee lenye kuupatia mwili vitu vinne kwa wakati mmoja, vitamin, protini, wanga na mafuta?. Mbali na utamu wake tende ambazo hulika sana mwezi wa ramadhan zina faida nyingi sana kwa mwili...

BLATTER ASHANGAZWA NA TUZO YA MESSI Rais wa Fifa Sepp Blatter amesema ameshangazwa kuwa Lionel Messi alishinda tuzo ya mchezaji bora - Golden Ball Award- katika Kombe la Dunia. Messi, 27, alitajwa kuwa mchezaji bora wa michuano hiyo licha ya timu yake Argentina kufungwa 1-0 na Ujerumani kwenye mchezo...