Tanzania itapokea Dola za kimarekani milioni 122 kwa miaka minne ijayo kutoka miaka, Benki kuu ya Dunia. ambao no mkopo wenye lengo la kuongeza ubora wa elimu katika shule za msingi na sekondari nchi kupitia mpango wa “Big Results Now in Education”,
Haya yalisemwa alna Mkurugenzi wa Benki kuu ya Dunia nchini, Bw Philippe Dongier, siku ya ijumaa.
Akiongea Dongire alisema elimu inaweza kubadilika kabisa na ikawa bora nchini Tanzania ikiwa kila mtoto anaweza kupata aina ya mafunzo ambayo yanaweza kufungua milango mipya ya baadaye.
Benki kuu ya dunia imeunda timu ya wataalamu katika upande wa elimu, ili kusaidia mpango wa “Big Results Now in Education” ili kuhakikisha watoto katika shule za msingi na sekondari nchini Tanzania wanasoma katika mazingira mazuri na kwa ufasaha zaid
MAMBO MBALI MBALI KUHUSU ELIMU
MAMBO MBALI MBALI "KUHUSU"SIASA
HABARI ZA KIMATAIFA
PATA HABARI ZA KITAIFA
HABARI ZA SIASA
Bofya hapa ili uweze kusoma taarifa mbali mbali za siasa zilizotufika hivi punde....read more
MAMBO MBALI MBALI YA ELIMU
Bofya hapa ili uweze kusoma taarifa na makala mbali mbali kuhusu elimu....read more
HABARI ZA KIMATAIFA
Kwa habari zinazohusu nje ya nchi bofya hapa....read more
PATA HABARI ZA KITAIFA
Kwa habari zinzhusu ndani ya nchi bofya hapa....read more
Tuesday, 15 July 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment